Utaalamu

Napenda kuwasalimu katika Jina la Bwana wetu Yesu Kristo,Kanisa la Mwamadilanha Aict linapenda kuwaalika na kuwakaribisha watu wa aina yeyote ile ili tuweze kuielimisha jamii yetu kwa ujumla kwa kuweza kuchangia utaalamu wa aina yeyote ile ili tuweze kuboresha maisha ya kila mwana jamii ya Tanzania,

Kwa siku ya leo napenda tuweze kujifunza kuhusu Namna ya kuweza kuondokana na usumbufu wa kupata umeme wa nyumbani kutumia Solar Energy Systems.Napenda kuwapa link ambazo zitawasaidia kupata utaalamu zaidi.Angalia Umeme wa Jua na SOlar Energy Systems Karibu katika kuchangia mawazo ya kila aina ili kuboresha ukurasa huu wa kitaalamu.

No comments:

Post a Comment